
Hii ndiyo ilikuwa taswira katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam eneo la Posta sehemu za Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na karibu na ukumbi wa Karimjee ambapo ilikuwa ni siku ya kuadhimisha mwaka wa 54 wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Picha na Mwandishi wetu/ Gpl.