×

Vikosi vya Simba, Yanga Uwanja wa Taifa Dar Leo

Timu ya Yanga na Simba zimetoa vikosi  vitakavyocheza leo Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mwendelezo wa kushindania ubingwa wa Ligi Kuu nchini inayojulikana kama Vodacom Premier League.  Orodha hizo tunazionyesha hapa chini: