DKT. MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI TASNIA YA FILAMU Global Publishers May 2, 2018 5,428 views SHARE THIS: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ametua Bodi Mpya ya Filamu Tanzania. Bodi hiyo itaongozwa na Prof. Frowin Paul Nyoni kama Mwenyekiti. Kwa mujibu wa sheria za Filamu na Michezo ya kuigiza Namba. 4 ya mwaka 1976. SHARE THIS: