Kupitia Mahojiano maalumu ndani ya Kipindi cha Beauty and Styles cha Global TV, Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madam Flora amezungumza mengi na kuelimisha watazamaji wa kipindi hiki hasa kwenye tasnia ya urembo.
Ndani ya Beauty and Styles, Madamu Flora ambaye alikuwa mke wa mwimbaji wa Gospel, Emmanuel Mbasha amekiri kuzinguana na mumewe wa sasa, Kusekwa.
Mada yetu ya leo ni namna ambavyo Mwanamke anavyotakiwa kujiandaa kisaikolojia na kuujua mwili au umbo la mwili wake ili anapovaa gauni la harusi asiwe kituko