Rais alipata fursa ya kupokea malalamiko, changamoto na matatizo mbalimbali kutoka kwa wanafunzi, wahadhiri na wafanyakazi wengine wa Jumuiya ya SUA kabla kuhutubia na kuzijibu hoja hizo.