×

Kisa Madini, Msukuma Acharukia! “Tutapelekana Mahakamani” – Video

Mbunge wa Jimbo la Geita Vijini, Joseph Msukuma, ameomba ufafanuzi kutoka kwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, kuhusiana na mgogoro kati ya Geita Mjini na Vijijini, unaosababishwa na deni la Dola la Milioni 12, ambapo Mgodi wa Geita bado haujalipwa lakini unaendelea kusafirisha madini.