Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, mhandisi Isaac Kamwelwe na Naibu Waziri wake Jumaa Aweso.