HII Baada ya aliyekuwa Bwana Harusi mtarajiwa, Omary Hamisi, mkazi wa Buguruni jijini Dar, kupigwa changa la macho na Bi Harusi mtarajiwa wake, Aisha Muhammed na kujikuta akibaki na Shehe na kundi la Ndugu na jamaa zake waliomsindikiza kwenda kuoa huku Bi Harusi akidaiwa kuingia mitini.