Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso, amesema Serikali haitamnyamazia na itamchukulia hatua kali mtu yeyote awe ni mtoto wa kigogo, Mhandisi au Wakandarasi ambao wanasababisha kukwama kwa miradi ya maji nchini.