Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, akifundisha kwenye Semina ya Ujasiriamali inayofanyika katika kanisa la Agape Life lililoko Mbezi Beach-Jogoo jijini Dar es Salaam ambapo atafundisha njia mbalimbali za kufanikiwa kimaisha.