Aliekuwa Dansa wa Alikiba, Emma 4 Real amefariki Dunia jana baada ya kuugua kwa muda mrefu na kulazwa katika Hospital ya Mwananyamara jijini Dar es Salaam.