BAADA ya kupotea kwa muda mrefu, Best Naso amekuja na ngoma mpya aliyoipa jina la Hellana akimshirikisha Nay wa Mitego na imeongozwa na Director Deo Abel.