×

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM NDG. KINANA IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 27, 2018

 

RAIS Magufuli na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana, Ikulu Jijini Dar es Salaam