
- Mwakirishi wa SportPesa (kusho) akimkabidhi jezi nahodha wa Yanga, Thabani Kamusoko katika hafla ya iliyofanyika nchini Kenya.

- Thabani Kamusoko (kushoto) akiwa na kocha wa Yanga, Noel Mwandila

- Kocha wa Gor Mahia ya Kenya, Dylan Kerr (kulia) akifuatilia jambo katika hafla hiyo

- Makibidhiano ya jezi yakiendelea katika hafla hiyo iliyoshirikisha timu zote zinatakazoshiriki michuano hiyo ya SportPesa Super Cup
Waandaji wa mashindano ya SportPesa Super Cup, Kampini ya SportPesa leo wamekabidhi vifaa vya michezo kwa timu zote nane zitakazo shiriki michuano hiyo inayoanza kutimuavumbi kesho nchini Kenya.
Tanzania inawakailishwa na timu za Yanga, Simba, Singida United pamoja na JKU ya Zanzibar.
Bingwa wa mashindano hayo atapata tiketi ya kwenda nchini England kucheza na Everton.
(PICHA: MUSA MATEJA | GPL – KENYA)
