
Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4

Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90

Simba sasa anasubiri kucheza fainali na mshindi wa mchezo kati ya Singinda United na Gor Mahia, mechi inayoaanza hivi punde(Saa 9:15 Alasiri)

PICHA: MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS