×

Video: Alichokisema SALAMBA Kuhusu Fainali ya Simba Vs Gor Mahia


Mchezaji Adam Salamba amezungumzia sababu za yeye kuchelewa kujiunga na timu ya Simba ambapo amesema alipatwa na msiba wa mjomba wake lakini mchezo mmoja aliocheza na kikosi chake, umempa uhakika wa timu yake kufanya vizuri. Simba inatarajiwa kudondoka dimbani leo Jumapili, Juni 10, 2018 kuumana na Timu ya Gor Mahia katika fainali ya Kombe la Sport Pesa.