×

EXCLUSIVE: Mke wa Mwarabu Fighter Afunguka Sarah wa Harmonize – Video

 

MKE wa Baunsa wa Diamond Mama Tee amefunguka juu ya uvumi ambao ulikua unaendelea kutokana na mpenzi wa Harmonize kutoka na mumewe huyo.

 

Mama Tarick amesema kuwa kwa mara ya kwanza alipoona hiyo ishu alishtuka lakini kadri alivyokuwa anafuatilia akaona hiyo ishu ni ya kutengenezwa na sio kweli.

 

Pia Mama Tarick amemtupia mume wake huyo sifa kedekede akisema mumewe huyo ni mmoja wa wanaume ambaye ni mvumilivu na ana heshima kwake.