×

Ili Kuweka Video Facebook, Instagram Unatakiwa Usajili – Video

Mhandisi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Francis Mihayo, amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea mabadiliko ya sheria mpya zinazohusiana na maudhui mbalimbali ikiwemo usajili wa wato huduma mitandaoni.

 

TCRA Imetangaza kuwa kuanzia Juni 11 – 15 watoa huduma wote wa mitandaoni wanatakiwa kusitisha zoezi hilo mpaka pale watakapojisajili na endapo watakiuka basi haitasita kumchukulia hatua.

 

MSIKIE INJINIA MIHAYO AKIFUNGUKA