Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba NHC, Nehemia Kyando Mchechu leo Jumatano, Juni 20, 2018.
Desemba mwaka jana, Lukuvi alimsimamisha kazi mkurugenzi huyo pamoja na Mkurugenzi wa huduma za mikoa na Utawala Raymond Mndolwa ili kupisha uchunguizi wa tuhuma zinazowakabili watendaji hao.



Comments are closed.