×

Kiwanga: Hamna Pesa Nyie, Mnakopakopa tu- Video

Mbunge wa Jimbo la Mlimba (CHADEMA), Suzan Kiwanga, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA