MSANII kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni ‘hitmaker’ wa nyimbo za If na Fall, Davido, usiku huu amechukua tuzo ya Msanii Bora wa Kimataifa (The Best International Act Award) na kuwashinda wasanii 10 aliokuwa anashindana nao ambao ni Cassper Nyovest (SA), Fally Ipupa (Dr. Congo), Tiwa Savage (Nigeria), Dadju (France), Distruction Boyz (SA), J Hus (UK), Niska (France), Stefflon Don (UK) na Stormzy (UK).