TIMU ya Biashara United ya Mara leo wamemtambulisha kocha mkuu wao ambaye ni raia wa Rwanda, Hitimana Thierry. Kocha huyo amepewa mkataba wa mwaka mmoja kuingoza timu hiyo Ligi Kuu ya Bara.