×

MTOTO WA MUNA ALIVYOAGWA LEADERS DAR

 

 

Jeneza lenye mwili Patrick likiwa viwanja vya Leaders,  Dar.
Baba wa Patrick, Peter Zakaria (kushoto) akiwa Leaders.
Muigizaji Rose Alphonce ‘Muna Love’  (aliyefunikwa) akiwa kalala kwenye miguu ya mmoja wa waombolezaji.
Mama mzazi wa Muna (katikati) akisadiwa.

Shughuli ya kuaga mwili wa Patrick imefanyika  viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wamefika kuungana na wazazi wa marehemu.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL