Shughuli ya MOBETO Kwenye Shindano la Miss Mwanza 2018 – Video
Global Publishers July 7, 2018
SHARE THIS:
MODEL anayetamba kwa sasa Bongo, Hamisa Mobeto amehudhuria na kupata fursa ya kuwa jaji katika Shindano la Urembo Mkoa wa Mwanza lilofanyika usiku wa kuamkia leo jijini humo.