×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Habari
  3. Video: Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Yatua Nchini

Video: Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Yatua Nchini

Global Publishers July 8, 2018 4,600 views
SHARE THIS:

 

RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania.

Baadhi ya viongozi nchini wakiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kuipokea DreamLiner iliyotua jioni hii.

Viongozi wengine waliofika uwanjani hapo ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mawaziri, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na viongozi wengine mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na viongozi wa Dini.

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

Fursa Kubwa kwa Watanzania: Nafasi 1,150 za Udereva Qatar Zinatangazwa - Global Publishers AJIRA

Fursa Kubwa kwa Watanzania: Nafasi 1,150 za Udereva Qatar Zinatangazwa

February 5, 2026
Mkulima kutoka Manyara Azindua Mifumo ya Kisasa ya Kilimo Dodoma - Global Publishers HABARI

Mkulima kutoka Manyara Azindua Mifumo ya Kisasa ya Kilimo Dodoma

August 3, 2025
Yanga Chini ya Lwandamina Yazidi Kujifua Tayari kwa Mzunguko wa Pili wa VPL - Global Publishers HABARI

Yanga Chini ya Lwandamina Yazidi Kujifua Tayari kwa Mzunguko wa Pili wa VPL

November 29, 2016
Maalim Seif Apongeza Waraka wa Maaskofu, Amjibu Prof. Lipumba - Global Publishers HABARI

Maalim Seif Apongeza Waraka wa Maaskofu, Amjibu Prof. Lipumba

March 26, 2018
DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services