×

Kim, Kanye Wahudhuria Fasheni Shoo ya North

MASTAA wa Marekani, Kim Kardashianna mkewe, Kanye West,  wakiwa na mwanao mdogo, Saint, jana walihudhuria shoo ya mavazi iliyomjumusha binti yao mdogo, North.

Maonyesho hayo yalifanywa katika kambi maalum kwa ajili ya watoto kuonyesha vipaji vyao katika ubunifu wa nguo.