Duke na Duchess wa Cambridge Prince William na Kate Middleton wametoa picha rasmi ya ubatizo wa mtoto wao wa tatu, Prince Louis.Picha hizo zilitolewa katika makazi Clarence House ambayo ndiyo makazi rasmi ya Duke na Duchess wa Cornwall Prince Charles na Camilla.
Picha ya kwanza inawonyesha Prince William, Kate Middleton na watoto wao watatu wakiwa na Prince Harry na Meghan Markle, Prince Charles na Camilla, na rafiki wa Kate’ – Carole na Michael Middleton, James Middleton, Pippa Middleton na mumewe, James Matthews.
Prince William, Kate Middleton na watoto wao watatu.
Kate Middleton na Prince Louis.

