×

Ronaldo, Awazidi Neymar, Messi Katika Mkwanja wa Instagram 2018

Cristiano Ronaldo has finished top of the Instagram Sport Rich List for 2018

MWANASOKA wa klabu ya Juventus Ronaldo, amewazidi mastaa wa soka wenzake Neymar na Mess katika mkwanja anaoweza kupata katika mtandao wa Instagram kwa kuwa na wafuasi wengi kwenye akaunti yake, wafuasi wapatao milioni 133.

Kwa mujibu wa Instagram Sport Rich List ya 2018, kwa kila posti ya Ronaldo ikitumiwa na kampuni yoyote kwa promosheni inaweza kumwingizia Dola 750,000.

Mpangilio wa watatu hao ni kama ifuatavyo:

The report shows brands would have to fork out $750,000 per post on Ronaldo's profile

Ronaldo anaweza kutia kibindoni Dola 750,000 kwa kila posti.

Posts on Brazilian superstar Neymar's account would set companies back $600,000

Neymar anaweza kuingiza Dola 600,000.

Lionel Messi came third in the list with a sponsored advert on his account costing $500,000Messi ataingiza Dola 500,000.