×

RAIS WA USWISI AONDOKA NCHINI BAADA YA MAPUMZIKO

Rais wa Uswisi, Alain Berset (kushoto),  akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga,  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo (Jumatano) wakati akijiandaa kuondoka kurudi nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake binafsi ambapo alitembelea hifadhi za taifa na Zanzibar kwa muda wa wiki mbili akiwa na familia yake.
…Wakiongea. 

 

PICHA NA IKULU