







IBADA maalum ya kuombea mwili wa marehemu Bi. Asteria Kahabi Kapela aliyefariki dunia juzi Ijumaa, Julai 27, 2018 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili jijini Dar es Salaam imefanyika leo katika Kanisa Katoliki la Mikocheni B, Parokia ya Mt. Agata.