
1.Daniel Craig, $25 million (Sh. bil. 57) mwigizaji wa filamu za “James Bond 25” (2019)

2.Dwayne Johnson, $ 22 million (Sh. bil. 51) mwigizaji wa filamu ya “The Red Menace” (2020)

3.Vin Diesel, $20 million (Sh. bil. 47) mwigizaji wa filamu ya “Fast and Furious 8” (2017)

4.Anne Hathaway, $15 million (Sh. bil. 37) mwigizaji wa filamu ya “Barbie” (2020)

5.Tom Cruise, $13 million (Sh. bil. 33) mwigizaji wa filamu ya “The Mummy” (2017)