×

Ajali ya Kigwangalla, Wizara ya Maliasili na Utalii Wafunguka

 

Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amepata ajali asubuhi hii akitokea mkoani Arusha kuelekea Manyara karibu na eneo la Magugu mkoani Manyara.