Katika kutekeleza maagizo ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) na agizo la Waziri wa ujenzi na Uchukuzi na Mawasiliano, MultiChoice imeziondoa mara moja channel za umma kwenye kig’amuzi cha DSTV isipokuwa TBC1.