×

BEAUTY & STYLES: MR Blue Kaja na Mavazi Yake “Sishindani na DIAMOND” -Video

Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue.

Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue,  ameamua kugeukia shughuli za ujasiriamali kwa kuanzisha mavazi yake yenye logo yake ya ‘Micharazo’.

 

Mr Blue ametambulisha brand yake hiyo kupitia Global TV kwenye kipindi cha Beauty & Styles, pamoja na kuelezea kuhusiana na kila kinachoendelea kwenye harakati zake za muziki.

 

Nick N JOY HOME DECORATIONS ni wadhamini wa kipindi hiki, ambao wamechanganua mada ya Console Table kama pambo la nyumba na jinsi gani linaleta mvuto na faraja kwenye familia.

 

DAGE SCHOOL OF HAIR & DRESSING SALOON ni wadhamini pia wa Beauty and Styles kwa ‘Make up’ zao kali  na huduma zao bomba.  Pia wana chuo kizuri kwa ajili ya urembo.