Diwani wa Chadema Kata ya Masama Rundugai, katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Elibariki Mbise, amejiuzulu uanachama na udiwani wake leo Agosti 21, 2018 na kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).