×

Red Carpet Lilivyokuwa Tuzo za 2018 MTV Video Music

Ashanti

TAMASHA la  2018 MTV Video Music Awards lilifanyika uziku wa kuamkia jana Agosti 20 kwenye ukumbi wa Radio City Music Hall jijini New York.

Cardi B, aliyeongoza orodha ya washindi kwa kupata tuzo kumi na mbili, ndiye aliyefungua tamasha hilo akifuatiwa na  Beyoncé aliyepata tuzo tisa, Jay-Z alifuata akiwa na tuzo nane,  wakati  Childish Gambino na Drake walipokea tuzo saba kila mmoja.

Wakati huohuo, zulia jekundu nalo lilipitiwa na mastaa kadhaa ambao walinaswa na kamera.  Nao ni wafuatao:

***

 

Cardi B

Jennifer Lopez

Teyana Taylor

Kylie Jenner

Nicki Minaj

Rita Ora

Winnie Harlow

Winnie Harlow

Shanina Shaik

Dascha Polanco

Chloe X Halle

Alex Rodriguez na Jennifer Lopez

Pete Davison and Ariana Grande

Victor Cruz and Karrueche Tran

Gucci Mane and Keyshia Ka’Oir

DJ Khaled, Asahd Khaled and Nicole Tuck

Tiffany Haddish

Blake Lively

Anna Kendrick

Olivia Munn

Millie Bobby Brown

SZA

Bebe Rexha

Camila Cabello

Hayley Kiyoko

Shay Mitchell

Amara La Negra

Erica Mena

Teairra Mari

Yandy Smith

Amber Rose

Blac Chyna