STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ana mpngo wa kununua nyumba nyingine nchini Afrika Kusini. Muimbaji huyo anayetamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Jibebe.
Diamond amesema; “Still in love with my first South Africa house…. adding the new house in here before end of the year.”
Nyumba ya sasa iliyopo Afrika Kusini ndipo inaishi familia yake, yaani mzazi mwenzie Zari The Bosslady na wanae wawili, Tiffah na Nillan.