×

Hii Ndo Hoteli Chimbo la Mawaziri na Wabunge GEITA – Video

HABARI NJEMA! Wageni wote na wenyeji wa mkoa wa Geita napenda kuwapa habari njema ya kuwa sehemu pekee unayoweza kupumzisha mwili wako na akili unapokuwa mkoani Geita ni katika Hotel ya Lenny ambayo ni hoteli ya kisasa yenye kila kitu kuanzia vyumba vizuri vya kulala, chakula kizuri cha kila aina, Swimming Pool na hali ya hewa nzuri.

Kutokana na ubora na uzuri wa hoteli hiyo ndio maana viongozi mbalimbali wa serikali wakiwemo Wabunge na Mawaziri hufikia hapo kwa huduma zenye uhakika.

Kwa Mawasiliano zaidi wasiliano Nao Kupitia;

Email: [email protected]

Simu: 0769 – 254 774