Majaliwa Akwea Dream Liner Kutoka Mwanza – Dar (Pichaz)
Global Publishers August 22, 2018
SHARE THIS:
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisafiri kwa Ndege ya Boeing 787-8 Dream liner kutoka Mwanza kwenda Dar es Dalaam kupitia KIA, Agosti 22, 2018. Walikwenda Chato, Geita kushiriki mazishi ya Dada wa Rais Magufuli, Bi. Monica Magufuli aliyezikwa jana.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phillip Mangula (watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) kwenye uwanja wa Ndege wa Mwanza kabla kuondoka kuelekea Dar es salaam kwa ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner Agosti 22, 2018.Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ikiwa Juu Ziwa Viktoria Mwanza ikijiandaa kutua katika uwanja wa Mwanza leo Agosti 22, 2018. Picha na Chriss Mfinanga wa Ofisi ya Waziri Mkuu.