Mshereshaji wa sherehe, Godfrey Rugarabamu ‘MC Gara B’ amefanya mahojiano na Global TV Online kuanzia elimu yake, alianzaje kufanya kazi yake, maisha yake ya ndoa, jinsi unavyoweza kufanya nae kazi, pamoja na maisha yake kwa ujumla.