Mhe. Rais Magufuli amefungua mradi wa maji katika kijiji cha Nebuye kwa ajili ya wakazi wa mji wa Nansio ambao ni makao makuu ya wilaya ya Ukerewe. Unazalisha lita 8,647,000 ambazo ni mara mbili ya mahitaji ya wananchi. Mradi umegharimu shilingi Bilioni 10.9