Mbunge wa Serengeti, Rioba Chacha ameuliza swali Bungeni leo kuhusu Uhuru wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wakurugenzi wa Halmashauri ambapo kwa mujibu wa sheria za nchi hawatakiwi kuwa wanavyama vyama vya siasa.