MHARIRI wa gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph, jana amefunga ndoa na Happiness Kayanza katika Kanisa la Katoliki la Kibaha Parokia ya Tumbi, Kibaha Maili-Moja, Mkoa wa Pwani.