Mbunge wa Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa, amesimama Bungeni na kuihoji serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, kuhusiana na utaratibu uliowekwa na serikali katika kuwavuta wawekezaji.