×

Nicki Minaj, Mama’ke Wavutia Shoo ya Oscar De La Renta

                                Minaji na mama yake, Carol Maraj.

RAPA wa kike, Nicki Minaj,  akifuatana na mama yake,  Carol Maraj,  walikuwa kivutio kikubwa kwenye maonyesho ya fashion ya Oscar De La Renta yaliyofanyika jijini.

Maonyesho hayo yaliyofanyika jana eneo la Spring Studios Terrace, Septemba 11, wawili hao walitia fora kwa kuyavuta macho ya  waliohudhuria hususan walivyokuwa wamemechisha nywele zao za rangi na mtindo mmoja.