×

WOLPER Afanya Maamuzi ya Kumsaka RIHANNA kwa Hili – Video

Muigizaji maarufu Bongo Movies ambaye pia ni fundi cherehani, Jacqueline Wolper, amedai yupo kwenye mipango ya kumsaka Staa wa muziki nchini Marekani, Rihanna, ili amvalishe kwenye video zake.