Rais John Magufuli akiwa na mkewe, Janeth (katikati) na mke wa waziri mkuu, Mary Majaliwa, walipokuwa wakisali katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Parokia ya Oyster Bay, Dar es Salaam leo Septemba 23,2018.
…Akipeana mkono wa amani na mmoja wa masista wakati wa ibada.
…Akipewa mkono wa pole na Paroko Msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya waumini wa parokia hiyo kufutia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018.
Janeth Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya waumini wa parokia hiyo.
Magufuli akizungumza na Paroko Msaidizi Padre Asis Mendonca.
…Akiwa na baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) alipopata nao chai ya asubuhi ikulu baada ya kuhudhuria misa.
…Akipata chai na baadhi ya askari aliowaalika ikulu.