×

Rukyaa Ndiye ‘Plato’ wa Simba na Yanga Jumapili

RASMI! Mwamuzi Jonesia Rukyaa kuchezesha mechi kati ya Simba na Yanga, Jumapili ijayo Septemba 30 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Aidha, Rukyaa atasaidiana na Ferdinand Chacha pamoja na Mohamed Mkono na mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii.

MASHABIKI wa Simba na Yanga Walivyotoleana Shombo!