Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya wanachama wake wanaoendesha kampeni za wazi na za kificho za urais wa Zanzbar, na kusema kuwa wanakiuka katiba na watachukuliwa hatua.