×

CHEMICAL: Siwezi Kumfuata Diamond, Mwenyewe Ataona – Video

RAPA wa kike Claudia Lubao ‘Chemical‘ amesema kuwa amewahi kuwaza kufanya kazi na msanii Diamond Platnumz lakini hawezi kumfata kumuomba am-manage kupitia lebo yake ya WCB au kufanya naye kazi.

 

Chemical kupitia Exclusive interview na Global TV Online aesema anataka afanye kazi zake mwenyewe ili kama itatokea Diamond azione na kumuita lakini yeye kwenda kumuomba afanye naye kazi.

VIDEO: MSIKIE CHEMICAL AKIFUNGUKA